top of page

Ajira

Sauti

1

Kufundisha Kazi

Bofya 1 ili kupata maelezo kuhusu programu za ndani zinazoweza kutoa ushauri. Zungumza na mtu kuhusu nafasi za kazi za karibu nawe, pokea usaidizi wa kutuma maombi ya kazi, na uelewe ni hatua gani unaweza kuchukua ili upate kazi nzuri. Baadhi ya programu zinaweza kukupa zana au vitu unavyohitaji kwenda kufanya kazi au kupata kazi bora zaidi.

2

Aina za Ajira

Bofya 2 ili kujifunza kuhusu aina 5 kuu za sekta za kazi zinazohitajika sana katika eneo letu. “Mahitaji ya juu” inamaanisha  kuwa kuna kazi nyingi zinazopatika sasa na katika siku zijazo.”Sekta” maana yake ni kundi la kazi na taaluma zinazofanana au zinazohusiana.

bottom of page