
Ramani ya Mtafuta Kazi
Utangulizi
Ramani hii inakusudiwa kuwasaidia wahamiaji
Na wakimbizi wa umri wote wanaozungumza
Lugha tofauti kusini mwa kentucky ya kati kuungana. Nawataalamu wa ajira na elimu katika programu na huduma za ndani.
Ramani hii inatunzwa na Bodi ya Maendeleo ya Nguvu kazi Kusini-Shirika la serikali linalosaidia. Waajiri kukidhi mahitaji yao ya sasa na ya baadaye ya wafanyakazi na kusaidia wafanyakazi kupata ujuzi wa fursa za ajira.

Nenda Kwenye Menyu Kuu
Chagua Nambari Ili Kujifunza Zaidi Kuhusu Mada
Bofya 1 ili kujifunza zaidi kuhusu nafasi za kazi na taaluma na kupokea usaidizi wa kitaaluma bila malipo.
Je, unaitaji kuboresha ujuzi wako wa kiingereza na kompyuta? Unataka kusoma mtihani wa uraia? Bofya 2 kupata programu ya ndani
Je! Unataka shahada yako itambuliwe? Bofya 3 ili kujua zaidi kuhusu programu gani zinaweza kukusaidia.
Bofya 4 ili kupata maelezo zaidi jinsi ya kupata diploma ya shule ya pili, shahada ya chuo kikuu, shahada ya ufundi au kupata mafunzo mengine ya taaluma.
Jifunze kuhusu rasilimali zingine zinazopatikana katika jumuiya yetu.